mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
labda alikuwa anamaanisha kuwa website huruuuu!!mkimangi sijakuelewa free website iko wapi wakaunachaji tshs150000-upward ?)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda alikuwa anamaanisha kuwa website huruuuu!!mkimangi sijakuelewa free website iko wapi wakaunachaji tshs150000-upward ?)
Join DateSat Jan 2010Posts16Thanks1Thanked 1 Time in 1 Post Rep Power0aisee bure ghali.Naomba nimsaidie maana sijui katokomea wapi, ki(English na swahili) chake huwa kina ulakini.
Alikuwa na maana PATA a FREE WEBSITE HOSTING. Neno moja linakosa. Ila kuna mtu alimcharge 1.5M na mpka leo mwezi wa 6 anapeta bila hosting fee.
Mimi nawapoza wahitaji na wapenzi wa website za bure mliokwazika na labda mlitegemea kupata kwa huyu ndg mnipe kazi yenu nijifunzie,nitawatengenezea bure i.e nitajifunzia kwenye hizo websites na zitakuwa hewani kwa 2 Yrs bureeeeeeeee na mpaka domain name nitalipia mimi. Malipo yangu ni Asante yenu. Offer iko valid kwa website 100 za kwanza.
Nimeshindwa kukuelewa big man,kwa kawaida ukiishasema bure aghali,mwisho huwa inaishia-sitaki.aisee bure ghali.
hebu nitumie pm how to get you freely nikupe inputs kisha unihostie my website fasta