Pata aina mbalimbali za matairi, kwa mikoani tunatuma na kwa Dar tunafanya delivery

Pata aina mbalimbali za matairi, kwa mikoani tunatuma na kwa Dar tunafanya delivery

Apollo tyres

Senior Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
109
Reaction score
286
Habari,

Karibu ujipatie tyres mbali mbali pia Kwa wale ambao hamna ufahamu mzuri wa matairi ya magari makubwa mtapata maarifa kidogo pia na bei za kizalendo kabisa.

Nitaanza na kutoa somo ili kila mtu anayehitaji kununua tyres apate ufahamu mzuri.

Hii itasaidia kujenga uelewa mzuri Kwa wateja hasa wamiliki wa Magari pamoja na Madereva.

IMG-20241121-WA0002(4).jpg

Kwa kuangalia iyo picha hapo juu.
Kuna steer, drive na trailer

Tutaanza na steer
Steer - ni tairi za mbele au tunasema kashata ya highway au wengine wanafunga kashata ya mixer.

315/80 R 22.5 Hi ndio tairi ya mbele highway

IMG-20250227-WA0009.jpg


315/80 R 22.5 Hii pia wanafunga mbele kashata ya mixer


IMG-20250227-WA0013.jpg

Steer au tairi ya mbele inafunga size mbili
1. 315/80 R 22.5 (picha nimetuma hapo juu)
2. Na 385/65 r 22.5 jina jingine huitwa SUPERSINGLE

Izi 385/65 r 22.5 supersingle kwaiyo mbele wanafunga either supersingle ya highway au mixer

Pia izi 385/65 r 22.5 zinakuwa pana kuliko 315/80 r 22.5
Na 315/80 r 22.5 kwa lugha ya mtaani huwa wanaziita size 12



Tuje kwenye drive hapa

IMG-20241121-WA0002(5).jpg


Hapo kwenye drive panaitwa diff

Tuanze na size zinazofunga kwenye diff hapo chini kwenye mshale
👇🏾
wanafunga size
11 r 22.5
295/80 r 22.5
kwa lugha ya mtaani wanaziita size 11.

Na size nyingine inayofunga hapo ni SUPERSINGLE FUPI/NDOGO 385/55 R 22.5

IMG-20241121-WA0009(1).jpg

Pia tuje kwenye tairi za diff zinazofunga hapo nyuma

Size inayofunga hapo ni 315/80 r 22.5 hapo unaweza funga kashata ya diff boxbox na kashata kubwa kabisa (manundu)


315/80 r 22.5 tairi ya diff hii kashata kubwa (manundu)



315/80 r 22.5 Tairi ya diff hii ni kashata ya boxbox

👇🏾


Tukija hapa kwenye trailer tairi zinazofunga hapa ni
315/80 r 22.5 na
385/65 r 22.5

IMG-20241121-WA0010(2).jpg


315/80 R 22.5 hii wanaita MIXER hii wanafunga kwenye trailer.



385/65 R 22.5 hii supersingle pia wanafunga kwenye trailer

Hii tairi pia wanaiitwa all position kwa sababu unaweza kufunga mbele, kwenye diff na kwenye trailer.



Bei zetu ni ni kama zifuatazo.

Brand ya CENTARA.



-• 315/80 R 22.5- Mbele 465K (highway)
-• Mixer( Trailer) - 460K
-• Diff (Kashata kubwa =510K
-• Diff (Kashata box box =510K


-• 385/65 R 22.5 - SUPER-SINGLE bei yake ni 610K , hii wanafunga mbele au kwenye trailer.

-• 11 R 22.5 TRANSTONE - Highway bei yake ni 435K.

Mixer bei yake ni 435K
Diff bei yake ni 495K


-• 295/80 R 22.5 MAXZEZ High way

Bei zake hizi hapa 👇🏾
High-way bei yake 490K
Diff bei yake 517 ,500/=

Location tupo Vigunguti karibu na sido Call 0658124288

Brand zilizopo

Transtone
Centara
Timax
Saferin
Ruadlux
Doublecoin
Valiant
 
Habari .

Karibu ujipatie tyres mbali mbali Ila kabla ya kutoa prices, specifications na location.

Nitaanza na kutoa somo ili kila mtu anayehitaji kununua tyres apate ufahamu mzuri .

Hii itasaidia kujenga uelewa mzuri Kwa wateja hasa wamiliki wa Magari pamoja na Madereva.


Taja bei...

Used au Mapya.?

Usipoteze muda...elimu tutaigugo .!
 
Habari .

Karibu ujipatie tyres mbali mbali Ila kabla ya kutoa prices, specifications na location.

Nitaanza na kutoa somo ili kila mtu anayehitaji kununua tyres apate ufahamu mzuri .

Hii itasaidia kujenga uelewa mzuri Kwa wateja hasa wamiliki wa Magari pamoja na Madereva.
Nimefungua tangazo nikiwa na nia ya kuagiza tairi lakini tangazo halina maelezo yanayojitosheleza. Naweza kusema linaonekana kama kanjanja tu. Utanisamehe.
 
Nimefungua tangazo nikiwa na nia ya kuagiza tairi lakini tangazo halina maelezo yanayojitosheleza. Naweza kusema linaonekana kama kanjanja tu. Utanisamehe.
OK pole Sana nilikuwa naanza na utangulizi wa maelezo then ndo nitatoa price lists .

Nikimaliza nita-kutag ili tufanye Biashara.
 
Kwa DSM tunafanya delivery na mikoani tunatuma .

Weka order yako hapa na brand ya tyre unahitaji.


(apollo tyres)
 
Wakuu sasa karibuni Kwa matairi ya magari Makubwa Kama maelezo yanavyoonesha hapo.

Tupo na brand mbali mbali za matairi Makubwa .
 
Bei zetu kwa upande wa brand ya CENTARA .


1 - 315/80 R 22.5
- Tyre la mbele Price =465,000/= (highway)

- Mixer (Trailer) Price =460,000/=
Diff (kashata kubwa) price
=510,000/=

Diff kashata box box Price =510,000/=

2. 385/65 R 22.5 SUPERSINGLE price =610,000/=

3. R 22.5 TRANS TONE High way 435, 000/=
Mixer price 435,000/=
Diff Price 495, 000/=

4. 295/80 R 22.5 MAXZEZ- Highway Price 490,000/=

Diff Price =517,500/=


Pia zipo brand mbali mbali za tyre kama 👇🏾

TRANS TONE
CENTARA
TIMAX
SAFERUN
ROADLUX
DOUBLECOIN
VALIANT.
 
Back
Top Bottom