Pata aina mbalimbali za matairi, kwa mikoani tunatuma na kwa Dar tunafanya delivery

Pata aina mbalimbali za matairi, kwa mikoani tunatuma na kwa Dar tunafanya delivery

IMG-20250227-WA0017.jpg
 
Mtaalam, unaweza kuwa na biashara nzuri ila ukakosea kujitangaza mahala kiasi cha kuleta wasiwasi wako kwa wateja. Ulitupa taarifa tarehe 07/12/2024 juu ya kuwa na mzigo, na ukasema kuwa muda si mrefu utatupa bei zake. Leo ni almost miezi 3 hivi, uoni kuwa unatupa wasiwasi sisi wahitaji wa huo mzigo? Je nikisema kuwa hapa kuna dalili za KUPIGWA? nitakuwa nimekosea?
 
Mtaalam, unaweza kuwa na biashara nzuri ila ukakosea kujitangaza mahala kiasi cha kuleta wasiwasi wako kwa wateja. Ulitupa taarifa tarehe 07/12/2024 juu ya kuwa na mzigo, na ukasema kuwa muda si mrefu utatupa bei zake. Leo ni almost miezi 3 hivi, uoni kuwa unatupa wasiwasi sisi qahitaji wa huo mzigo? Je nikisima kuwa hapa kuna daliki za KUPIGWA? nitakuwa nimekosea?
Upo sahihi Mkuu.

Nadhani tunaweza sasa kufanya biashara wala usiwe na wasiwasi maaana nilikuwa office yetu ya Arusha hivyo baada ya mambo kukaa sawa nimerudi DSM .


Waweza kutupia hapa 0658124288 ili ujipatie Tyres Kwa bei ya kizalendo.

Karibu.
 
Bei zetu kwa upande wa brand ya CENTARA .


1 - 315/80 R 22.5
- Tyre la mbele Price =465,000/= (highway)

- Mixer (Trailer) Price =460,000/=
Diff (kashata kubwa) price
=510,000/=

Diff kashata box box Price =510,000/=

2. 385/65 R 22.5 SUPERSINGLE price =610,000/=

3. R 22.5 TRANS TONE High way 435, 000/=
Mixer price 435,000/=
Diff Price 495, 000/=

4. 295/80 R 22.5 MAXZEZ- Highway Price 490,000/=

Diff Price =517,500/=


Pia zipo brand mbali mbali za tyre kama 👇🏾

TRANS TONE
CENTARA
TIMAX
SAFERUN
ROADLUX
DOUBLECOIN
VALIANT.
 
Nataka dunlop size 16 pana na rim yake.
Nipe bei ya shanga na ambayo sio ya shanga.
 
Nataka dunlop size 16 pana na rim yake.
Nipe bei ya shanga na ambayo sio ya shanga.
Mkuu I'm sorry kuchelewa kukujibu muda mwingi nakuwa sipo JF ila naomba unichek hapa 0658124288

Kuhusu bei sisi bei zetu zipo kizalendo

Karibu
 
Back
Top Bottom