PATA ELIMU: Battery imekufa ghafla?

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
ELIMU KUHUSU GARI YAKO

Ikiwa battery imekufa ghafla na gari yako ni automatic na huwezi kupata msaada wa haraka, inyanyue tyre moja ya mbele kwa kutumia jeki, weka gear kwenye D, funga kamba kuzunguka tyre halafu vuta kamba kwa nguvu, ikiwaka, peleka gear kwny N kisha uzuie motion ya tyre taratibu, na kisha rudisha gear kwenye P na utoe jeki.

Video ya Mfano iko hapo chini
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ya kupiga jack tairi linyanyuke ili kupata motion kunatofauti gani na kulisuma gari
Likiwa N then likishika kasi unarudisha D?
 
Hiyo kwa gari inayotumia nguvu matairi ya mbele je gari ya inayotumia propela shaft au tairi za nyuma

Umeuliza swali ambalo nilikuwa nimuulize. Vitu vya kukarri ni vibaya sana. Yeye kasema mbele kwa sabau hiyo clip inaonesha tairi ya mbele, akufikiria kuwa kuna magari menine yanatumiadiving shaft ya nyuma.

NB;
kwa mantiki hii, mimi naona kama inatumia tairi ya nyuma basi utanyanyua tairi ya nyuma
 
Thanks brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…