Pata elimu kidogo kuhusu makato CRDB

Pata elimu kidogo kuhusu makato CRDB

Sisi Banks zetu makato kila kipengere. Nimeshangaa hata kuangalia salio SimBanking CRDB eti wameifanya kuwa huduma ya kulipia. Unyonyaji tu huu.
Ni free bana..kwenye app
Ila ile ya kuangalia through menu ndio wanakata pesa ya kutuma msg/ menu yake haifunguki kama huna salio la kawaida
 
Ni free bana..kwenye app
Ila ile ya kuangalia through menu ndio wanakata pesa ya kutuma msg/ menu yake haifunguki kama huna salio la kawaida
Mkuu we unatumia App ipi? Hii hii SimBanking app ama nyingine? Kama unatumia SimBanking na unadhani ni free basi utakuwa unakatwa ila hujijui kama unakatwa. Ukisha log in pale mwanzoni huwezi kuona balance directly. Mpaka u-click kile kijicho. Ukisha click tu tayari unakuwa umekatwa. Uwe unafuatilia balance yako utaona hayo makato. Kale kajicho hakapo kwa bahati mbaya. Na ili watukate kiulaini hawakwambii kwamba ku-click pale kutapelekea kukatwa. Wanakuacha ukatwe vizuri.
 
Mkuu we unatumia App ipi? Hii hii SimBanking app ama nyingine? Kama unatumia SimBanking na unadhani ni free basi utakuwa unakatwa ila hujijui kama unakatwa. Ukisha log in pale mwanzoni huwezi kuona balance directly. Mpaka u-click kile kijicho. Ukisha click tu tayari unakuwa umekatwa. Uwe unafuatilia balance yako utaona hayo makato. Kale kajicho hakapo kwa bahati mbaya. Na ili watukate zaidi hawakwambii kwamba ku-click pale kutapelekea kukatwa. Wanakuacha ukatwe vizuri.
Yan nachungulia lakini balance inabaki ile ile…
CRDB wamerekebisha makato sijui ni February ile ilikuwa.. na wamebandika tu hapo pembeni ya ATMs
Kucheck balance na app ni bure
Kucheck balance na ussd/menu 350
 
Mkuu we unatumia App ipi? Hii hii SimBanking app ama nyingine? Kama unatumia SimBanking na unadhani ni free basi utakuwa unakatwa ila hujijui kama unakatwa. Ukisha log in pale mwanzoni huwezi kuona balance directly. Mpaka u-click kile kijicho. Ukisha click tu tayari unakuwa umekatwa. Uwe unafuatilia balance yako utaona hayo makato. Kale kajicho hakapo kwa bahati mbaya. Na ili watukate kiulaini hawakwambii kwamba ku-click pale kutapelekea kukatwa. Wanakuacha ukatwe vizuri.
Na ni ngumu ukatwe usijue sababu kila mwezi wanatuma e statement.. binafsi naisomaga..
 
Kwa kuongezea, jitahidi uwe unatunza sile a.k.a coins, zinasaidia ukienda kutoa hela. Kwa mfano unataka 50000 kwa wakala, instead ya kutoa elf 50, toa 49,900 af umpe wakala tsh 100 ili akupe 50,000 kamili. Hapo utakua umekatwa 1500 instead ya 2200. So automatically unasave 700 inabaki kwenye account yako.
Constructive idea.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yan nachungulia lakini balance inabaki ile ile…
CRDB wamerekebisha makato sijui ni February ile ilikuwa.. na wamebandika tu hapo pembeni ya ATMs
Kucheck balance na app ni bure
Kucheck balance na ussd/menu 350
Yes, Crdb kwa App yao ni bure.
 
Constructive idea.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yes.. most times a difference ya hata sh moja inaeza kukuokoa. Changamoto ya watu wengi hua wanachukulia hela ndogo kama vile hazina umuhim kiviile. Kwa mfano mtu amekuomba buku aunge kifurushi. Ukimtumia 999 utakatwa sh 10 tu lakini ukieka 1000 kamili utakatwa almst 56. So kwa mtu mwenye transactions nyingi ukiweza kucheza na makato utajikuta unaokoa fedha nyingi ambazo zingepotea unnecesarily.
 
Ukitoa 5m NMB ndani, unalimwa kama 6500 hivi...ukitoa 10m ni around 12,000 hivi....sasa hapo unatoa hela zako, wakukopeshe wao ndio utajua hujui
 
Mkuu we unatumia App ipi? Hii hii SimBanking app ama nyingine? Kama unatumia SimBanking na unadhani ni free basi utakuwa unakatwa ila hujijui kama unakatwa. Ukisha log in pale mwanzoni huwezi kuona balance directly. Mpaka u-click kile kijicho. Ukisha click tu tayari unakuwa umekatwa. Uwe unafuatilia balance yako utaona hayo makato. Kale kajicho hakapo kwa bahati mbaya. Na ili watukate kiulaini hawakwambii kwamba ku-click pale kutapelekea kukatwa. Wanakuacha ukatwe vizur

Mkuu we unatumia App ipi? Hii hii SimBanking app ama nyingine? Kama unatumia SimBanking na unadhani ni free basi utakuwa unakatwa ila hujijui kama unakatwa. Ukisha log in pale mwanzoni huwezi kuona balance directly. Mpaka u-click kile kijicho. Ukisha click tu tayari unakuwa umekatwa. Uwe unafuatilia balance yako utaona hayo makato. Kale kajicho hakapo kwa bahati mbaya. Na ili watukate kiulaini hawakwambii kwamba ku-click pale kutapelekea kukatwa. Wanakuacha ukatwe vizuri.
Aisee tunashukuru huu uzi unatufungua macho sana hizi bank zinatakiwa ziishtakiwe sio kwa sababu wanakata ila kwa sababu hawasemi ukweli kwa mteja mwisho wa siku ni kama wanakuibia kimya kimya. Ni sawa kununua dawa bila leaflet. Bank wanafanya uhalifu mkubwa na wizi kwa kuwa hawasemi ukweli kwa wateja. hivi hatuna vitengo sijui vya kulinda wateja Tanzania? nchi nyingine wangelipa kila walichochukuwa sababu hawakusema ukweli kutwa wanatangaza tumia bure. wezi wakubwa hawa mbwa
 
Ukitoa 5m NMB ndani, unalimwa kama 6500 hivi...ukitoa 10m ni around 12,000 hivi....sasa hapo unatoa hela zako, wakukopeshe wao ndio utajua hujui
Mbaya haya yote mteja hajui wala haambiwi jamani huu sio ujangili? bora hata hao wa simu kabla ya kusema ok unaona makato yako una hiyari ya ku cancel ila hawa jamaa sio sawa. Mtu unaenda kuweka mamilioni yako bure siku ukitaka kutoa unakatwa wakati wanatumia pesa yako katika biashara zao zingine kama mikopo.
 
Bank hawafai..sera zao sio za nchi maskini
 
Kuna mtu huko anataka kubisha, ye sijui anatumia CRDB gani
Siyo kubisha mkuu. We mwenyewe si umesema wamerekebisha makato sijui February? Mie naongea kitu nilichokiona. Labda kama wamerekebisha. Nilikuwa nikiangalia salio, kisha nikicheki e-statement nakuta nimekatwa. Sasa kama wamerekebisha mie sikujua hilo.
 
Siyo kubisha mkuu. We mwenyewe si umesema wameanza sijui February? Mie naongea kitu nilichokiona. Labda kama wamerekebisha. Nilikuwa nikiangalia salio, kisha nikicheki e-statement nakuta nimekatwa. Sasa kama wamerebisha mie sikujua hilo.
Mimi tangazo nimeliona Feb Mwanzoni..
Nimesoma pia Email yao ya January haina makato.
Huko nyuma sikuwa nikiwatumia..
 
Mimi tangazo nimeliona Feb Mwanzoni..
Nimesoma pia Email yao ya January haina makato.
Huko nyuma sikuwa nikiwatumia..
Mie baada ya kuona nakatwa nikawa nimeacha kuona salio. Nadhani mara ya mwisho kucheki salio ilikuwa mwaka jana sikumbuki vizuri ilikuwa mwezi upi. Mie ni mteja wao huu mwaka wa 11.
 
Back
Top Bottom