nimekupata mkuu...ntajaribu kukutafuta kwa namba hizo...Mkuu nami nashea tangazo
Hivyo nikihudhuria nitashea nitakachopata
Ahsante!
forever living pumbafu.
wanakeraaaaa!!!! aaarrrghh!! ila wajinga hawaishi ndugu yangu. watu bado tu wanajiunga na hayo makitu.