Pata Elimu Kuhusu Jinsi Ya Kuvumbua Fursa Za kiuchumi-Bure

Pata Elimu Kuhusu Jinsi Ya Kuvumbua Fursa Za kiuchumi-Bure

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Jamani kwa Wakaazi wa DAR Nimeona Tangazo Linaloelezea Kuwa Na Semina yenye Kutoa Elimu Kwa Yeyote(muajiriwa,hasiyeajiriwa, mstaafu n.k) Kuhusu Namna Ya Kuweza Kujipatia Kipato Endelevu ,

Mda na Mahali semina Itakapofanyika piga simu Namba
0655145656
0767224858
Ahsanten!
 
sasa kama ni bure kwa nini usimwage mboga hapa hapa sote tule aisee....
au ndio habari za HIDDEN COSTS tena???
 
sasa kama ni bure kwa nini usimwage mboga hapa hapa sote tule aisee....
au ndio habari za HIDDEN COSTS tena???

Mkuu nami nashea tangazo
Hivyo nikihudhuria nitashea nitakachopata
Ahsante!
 
nimekupata mkuu...ntajaribu kukutafuta kwa namba hizo...

Jamani Hizo Namba Ni Za Wahusika(Waendesha Semina) wamechapa pamoja Na Tangazo Lao
Sio Zangu!!
 
Hamna semina humo ni wale watu wanaotafuta masales man wa dawa za GeralD
 
Kama tu mngejua vyema kuhusu FOREVER msingekuwa na majibu mabovu kama hayo, ila kwa kuwa watanzania wengi hatutaki vitu vipya wala kubadili mifumo yetu ya kufikiria ndo mana wengi mtaishia kulaumu na kulalamika.
 
wanaojoin wengi ni waliokata tamaa ya maisha

Jamani!
Ina Maana Nami Nikienda, nitakuwa Ktk Kundi La Waliokata Tamaa Ktk Maisha?
Kama Ni Hivyo.. Bora Niendelee Na Hili Dili Langu La Kukusanya Makopo!
 
Back
Top Bottom