Plot4Sale Pata eneo Chanika, Kigamboni, Kibaha, Goba, Bagamoyo

Plot4Sale Pata eneo Chanika, Kigamboni, Kibaha, Goba, Bagamoyo

Vimepimwa square meter 400, ambapo 20 meter urefu na 20 meter upana.
Lakini pia unaweza pata zaidi ya hapo.
Karibu sana ndugu yangu.
Mku Asante sana.
Samahini kwani kimya kwani hivi vya Vigwaza vipo Vigwaza ipi kwani kama kuna ambavyo nienda kuviangalia karibu na ile Seminari ya Romani Katoliki kwani nahitaji.
 
Kwani hawa nilioendanao ni katika ile ofa ya Sabasaba.
Naomba mchanganuo mapema ili tufanye msnunuzi.
Asante
 
Kigamboni sehemu gani
Kigamboni gezaulole, cheka, kibada, mwembe mdogo, avick town, buyuni
Na bei zake zipo hapo View attachment 2292449
IMG-20220706-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom