Plot4Sale Pata eneo Chanika, Kigamboni, Kibaha, Goba, Bagamoyo

Vimepimwa square meter 400, ambapo 20 meter urefu na 20 meter upana.
Lakini pia unaweza pata zaidi ya hapo.
Karibu sana ndugu yangu.
Mku Asante sana.
Samahini kwani kimya kwani hivi vya Vigwaza vipo Vigwaza ipi kwani kama kuna ambavyo nienda kuviangalia karibu na ile Seminari ya Romani Katoliki kwani nahitaji.
 
Kwani hawa nilioendanao ni katika ile ofa ya Sabasaba.
Naomba mchanganuo mapema ili tufanye msnunuzi.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…