Pata flash,wireless mouse,charger,game pad,USB na original earphone hapa;

Pata flash,wireless mouse,charger,game pad,USB na original earphone hapa;

Hapana kwa kipindi sina huo mzigo but kesho kuna mwarabu anaingiza contena la izo vitu..akileta ntaangalia bei elekezi then ntakuchk
Poa nashukuru tena angalia hizi Ps3 , Ps4 na xbox360 utofauti wa bei na pia kwa familia ipi ni nzuri kwa kutumia ili niangalie naweza kujivuta wapi?
 
Mkuu
Ebu piga picha hizo earphone za samsung....niangalie kama naweza kuwa mteja wako
 
Mkuu
Ebu piga picha hizo earphone za samsung....niangalie kama naweza kuwa mteja wako
IMG_20171125_162711.jpg
IMG_20171125_162658.jpg
IMG_20171125_162613.jpg

Angalia vichwa vipo vya aina tofauti
 
Back
Top Bottom