Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Nikajua unatulelekeza duka lilipo hapa bongo tuchangamkeHuko France kuna punguzo kubwa la flat tv, yaani bei ni euro 2 sawa na 4900 pesa za Kitanzania.Flat tv aina ya Samsung inchi 65.
Hapa Bongo bila ya zaidi ya milioni 3 hupati
View attachment 2207882
Sio Bongo nenda FranceNikajua unatulelekeza duka lilipo hapa bongo tuchangamke
Hata sasa inabidi tutafakari pia, Kwanini bei imekua ndogo hivyo.Ingekuwa huku ingebidi kwanza tutafakari zina shida gani mpaka ziuzwe bei chee ivo.
Nauli ya kwenda na kurudi France ni kama USD 3200 ,changamkia fursa mkuuSasa usafiri wake beigan mpaka Bongo asee
Itakua unalipia kwenye king'amuzi.Hata sasa inabidi tutafakari pia, Kwanini bei imekua ndogo hivyo.
Labda.Itakua unalipia kwenye king'amuzi.