Pata flat tv kwa 4900

Pata flat tv kwa 4900

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Huko France kuna punguzo kubwa la flat tv, yaani bei ni euro 2 sawa na 4900 pesa za Kitanzania.Flat tv aina ya Samsung inchi 65.

Hapa Bongo bila ya zaidi ya milioni 3 hupati

FB_IMG_16514321829686291.jpg
 
Ingekuwa huku ingebidi kwanza tutafakari zina shida gani mpaka ziuzwe bei chee ivo.
 
Yangu nimenunua juzi kwa 4000 nchi 32.
 
Back
Top Bottom