Pata GB 10 Kwa Sh 2000 Mwezi Mzima. Tigo

Pata GB 10 Kwa Sh 2000 Mwezi Mzima. Tigo

mhh ata sina ham nao tangu nieke lain ya tigo 4g imesoma mara 2 tu tena sekunde chache na kupotea

kila siku nnagombana na mke wangu nkituma sms zinafika baada ya masaa 7

nimewachoka sina ham nao kabisa
 
Binadam mweny kuipenda tgo ni waajab hzo gb 10 ntanunua uni ya airtel mia sita kwa siku tatu
 
mhh ata sina ham nao tangu nieke lain ya tigo 4g imesoma mara 2 tu tena sekunde chache na kupotea

kila siku nnagombana na mke wangu nkituma sms zinafika baada ya masaa 7

nimewachoka sina ham nao kabisa
Ukiweka 4g huwez pat sm zinazo pigwa na text bola uweke automatic weka 2g 3g 4g iwe inakaa automatic napo kupanda 4g ni kwa shida sana
 
Hiyo mimi walinitumia SMS ya ofa, mtandao wa internet uko vizuri Kwa kasi ya 4G, nilibahatika kujiunga Mara tatu. Ila ofa ndo imekwisha, mpaka uchaguliwe tena
 
Back
Top Bottom