Pata hela tujue tabia yako!

Pata hela tujue tabia yako!

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Wakuu tuko pamoja?

Kama unaamini katika huo msemo, hebu tuambizane:

Kabla hujapata pesa ulikuwa na tabia zipi ambazo sasa umebadilika?

Au kama bado hujazipata, ni tabia gani ambayo unaitamani kuja kuwa nayo pindi ukizikamata?

Mimi naomba kujifunza kwenu kwanza, nitahitimisha mwishoni.

Nikizipata ........!![emoji276]
 
Kuchomekea tu, ndo tukio langu huwa nafanya nikiwa pochi nene. na sivai modo

Sipendi kuvaa smart na sina hela.

Hapo utakuta natoa sharti kali navaa na kinjunga (pensi) na open shoes nimemaliza, modo naanza kuvaa hadi zilizochanika magotini.
 
MIE Hela zikiwepo nguvu zinahamia huku kichwa cha chini yaani kinakuwa na nguvu ile balaa.
Ila kama haipo cha juu kinakuwa na nguvu na mawazo chanya Nakuwa mbunifu Wa miradi ya kuingiza pesa.

Napendelea kula samaki choma na kwenda swimming pool pia nikiwa Nazi.
Kama Sina Hela ndo nawakumbuka washkaji Nakuwa loyal balaa.

Kama ninazo naangalia ndugu anaye hali mbali nimsaidie naye afikie uchumi Wa kati. Tangiapo Nina washkaji Wa ukweli Wa uhakika not above 5 so hawa tunatuitumia na kupandishana miZuka ya kufikia level za akina Jeff benzos
 
Kumbe watu starehe ni kugegedana tuu sema mchawi hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi naweza kuwa na milioni mfukoni,nikashindia juice,au nikala ugali dagaa nikalala,,
Starehe naziona ni kujilisha upepo tu,haziniongezei lolote, in short pesa nishaizoe nimeikinai,niwe nayo,nisiwe nayo sibadiliki
 
Kuchomekea tu, ndo tukio langu huwa nafanya nikiwa pochi nene. na sivai modo

Sipendi kuvaa smart na sina hela.

Hapo utakuta natoa sharti kali navaa na kinjunga (pensi) na open shoes nimemaliza, modo naanza kuvaa hadi zilizochanika magotini.
Hahahahaaaaa
 
Mimi naweza kuwa na milioni mfukoni,nikashindia juice,au nikala ugali dagaa nikalala,,
Starehe naziona ni kujilisha upepo tu,haziniongezei lolote, in short pesa nishaizoe nimeikinai,niwe nayo,nisiwe nayo sibadiliki

Endelea kuifuga, siku ukifa tutagombea pilau na soda!
 
Mimi naweza kuwa na milioni mfukoni,nikashindia juice,au nikala ugali dagaa nikalala,,
Starehe naziona ni kujilisha upepo tu,haziniongezei lolote, in short pesa nishaizoe nimeikinai,niwe nayo,nisiwe nayo sibadiliki

Mkuu, tabia sio lazima iwe mbaya... pengine kabla hujazipata ulikuwa na tabia za hovyo ila pesa imekupa utulivu!
 
Back
Top Bottom