Pata heshima yako bila kutumia mabavu

Pata heshima yako bila kutumia mabavu

SYENDEKE

Senior Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
169
Reaction score
26
jamani kuna hii campain ya ujanyasaji wakijinsia inayo tolewa na shirika la lisilo la kiserikali la CHAMPION chini ya wizara ya maendereo ya jamii jinsia na watoto nimeiipenda sana INASEMA MWANAUME KUWA MFANO WA KUIGWA PATA HESHIMA YAKO BILA KUTUMIA MABAVU hapo wamepiga ikulu kabisa na wanaume wengi wamewagusa kwa jinsi wanavyo nyanyasa wanawake zao na watoto . Duhuuu big up
 
ni nzuri sana mana hua wengi wanapenda kutumia mabavu sana .......i dont know why?
 
siku hizi mbona hata asha ngedere wapo kibao
 
kuna mianamke mingine ya kiafrica usipotumia mabavu haitakusikiliza kabisa
 
Hiyo kampeni imejaa ubaguzi wa kijinsia. Mbona haizungumzi chochote kwa akina mama wanaotafuta heshima kwa kutumia mabavu kwa kutubonda sisi wanaume? Hapa nilipo bado sijapona ngeu baada ya kupata kipondo kutoka kwa mai waifu wangu last week.
 
Back
Top Bottom