INAUZWA Pata Honlg: Pikipiki ya ukweli kwa mahitaji binafsi au kibiashara

INAUZWA Pata Honlg: Pikipiki ya ukweli kwa mahitaji binafsi au kibiashara

Papaa pedeshee

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
274
Reaction score
394
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M
Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs 4.45M
NB: usilinganishe HoNLG na bodaboda yoyote unazozijua,hizi ni mashine tata.
 
Attachments

  • PXL_20230302_140033578.jpg
    PXL_20230302_140033578.jpg
    1.1 MB · Views: 93
  • PXL_20230303_081020630.jpg
    PXL_20230303_081020630.jpg
    60.4 KB · Views: 97
  • PXL_20230302_140137096.jpg
    PXL_20230302_140137096.jpg
    59.2 KB · Views: 93
  • PXL_20230302_140227839.jpg
    PXL_20230302_140227839.jpg
    60.5 KB · Views: 101
Zina airbag mkuu
Ukihitaji pia unaweza tafutiwa mkuu japo zinauzwa tofauti na bei yake sijaifahamu vizuri ila naamini si gharama kubwa. Ikumbuke mali unasafirishiwa hadi ulipo nchini kwa kuchangia gharama kidogo tu. Hii hapa chini ni HONLG CC 200 ikiwa imefungwa na kuandaliwa kupelekwa cargo kwenda Ifakara Morogoro kwa mteja.
 
Attachments

  • PXL_20230313_164456470.jpg
    PXL_20230313_164456470.jpg
    64.9 KB · Views: 100
Shida muda wa kudumu
Mkuu hiyo ni mashine kuliko pikipiki nyingine, warranty mwaka mzima bila shaka na maelekezo yapo ya kutosha. Kuna mteja Ifakara nadhani nikikuunganisha naye atakuwa mwalimu mzuri kwako.
Lakini pia kuna Haojue nazo ni bora kiongozi.
 
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M
Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs 4.45M
NB: usilinganishe HoNLG na bodaboda yoyote unazozijua,hizi ni mashine tata.
Hujasema upo wapi??

Fuel consuption ni Km ngapi per 1liter??

Offer zipi mnampa mteja??

Warranty??
 
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M
Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs 4.45M
NB: usilinganishe HoNLG na bodaboda yoyote unazozijua,hizi ni mashine tata.
Hizi bado zinapatikana ???
 
Back
Top Bottom