Papaa pedeshee
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 274
- 394
Hapana mkuu.hizo zinauzwa maduka ya vifaa vya pikipiki japo bei yake sijaifatilia vizuri.karibu kwa usafiri mzuri wa pikipiki za kisasa kabisa.Zina airbag mkuu
Ukihitaji pia unaweza tafutiwa mkuu japo zinauzwa tofauti na bei yake sijaifahamu vizuri ila naamini si gharama kubwa. Ikumbuke mali unasafirishiwa hadi ulipo nchini kwa kuchangia gharama kidogo tu. Hii hapa chini ni HONLG CC 200 ikiwa imefungwa na kuandaliwa kupelekwa cargo kwenda Ifakara Morogoro kwa mteja.Zina airbag mkuu
Shida muda wa kudumuHapana mkuu.hizo zinauzwa maduka ya vifaa vya pikipiki japo bei yake sijaifatilia vizuri.karibu kwa usafiri mzuri wa pikipiki za kisasa kabisa.
Mkuu hiyo ni mashine kuliko pikipiki nyingine, warranty mwaka mzima bila shaka na maelekezo yapo ya kutosha. Kuna mteja Ifakara nadhani nikikuunganisha naye atakuwa mwalimu mzuri kwako.Shida muda wa kudumu
Hujasema upo wapi??Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M
Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs 4.45M
NB: usilinganishe HoNLG na bodaboda yoyote unazozijua,hizi ni mashine tata.
Hizi bado zinapatikana ???Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc 150 bei maelekezo Tshs 3.15M
Honlg Cc 200 bei Kitonga Tshs 3.5M, HONLG Cc 250 bei mtelemko Tshs 4.45M
NB: usilinganishe HoNLG na bodaboda yoyote unazozijua,hizi ni mashine tata.