Mkuu ukishakunya umesafisha tumbo.Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp.
Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako!
Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana ulaji wa matunda na unywaji wa maji kwa ajili ya kusaidia mmeng'enyo wa chakula tumboni ili kusaidia ku flash out yale mabaki yasigeuke kuwa sumu.
Lakini pamoja na juhudi zote bado kuna umuhimu wa kupiga usafi tumbo kwa mahsusi kabisa. Watu wengi sana hawapigi usafi tumbo waao ni kula tu
Kama kusafosha tumbo mara kwa mara kutakufanya ujisikie fresh je ukisafisha tumbo linakuwa empty wakati umelisafosha au unakuwa kuna vitu vipi humo tumboni ?- Kama unataka kujisikia fresh mara kwa mara basi usisahau kujikita kusafisha tumbo lako mara kwa mara.
Mbona nimesha paste hapa? Angalia vizuriTunasafishaJe sasa ?!
Nipe namba nimpe akuunge kwenye group laoEnheee tupe bei basi
Ukiachana na nauli ya kumfata mteja, gharama ya huduma husika ni pesa ngapi.Gharama?
Gharama ni maelewano kutokana na mahali ulipo, maana umbali wa kukufuata huamua gharama. Kuna mtu anaweza kuniita kwenda Dodoma, na kuna mwingine yupo DSM gharama hutofautiana.