Huyu asiwadanganye kusafisha tumbo ni kula fibers za kutosha, fiber ni kama brush kwenye utumbo, vyakula vywnye fiber ni pamoja na matunda mengi kila siku, kwa vile matunda mengi ni fake, tumieni majani ya miti inayotoa matunda ya chakula iwe ni mwembe, mchungwa , mnyanya nk.
Maandalizi ni kuyasaga yakiwa mabichi then kunywa juice na makapi yake kiasi..yapo majani ambayo ni very effective kama mlonge ukila majani yake na maua lazima uharishe sana.
Tahadhari; usichemshe dawa hiyo, kula mbichi ina antioxidant na phytochemicals za kutosha, achaneni na wafanyabiashara hizi za madawa ya asili, mtu hataki kusema dawa anafikiri ni ujanja, wape watu elimu hii bure, waachane na utumwa wa medical system!!!