Pata huduma ya Kusafisha tumbo. Kile unachokula ndicho kinachokuja kuwa sumu mwilini kwako !

Hili sio kosa lako bali kosa ni kile unachokifahamu:

(What you know limits your perspective)
 
Wee ndie unataka kuletea watu magonjwa.

Tecnically mwili wa binadam unajisafisha wenyewe involuntiary wala haufosiwa na chochote labda km mtu mgonjwa hivyo kuna malfunction ya some organs otherwise km ni mzima basi mwili hutoa taka wenyewe.
 
Kama kusafosha tumbo mara kwa mara kutakufanya ujisikie fresh je ukisafisha tumbo linakuwa empty wakati umelisafosha au unakuwa kuna vitu vipi humo tumboni ?
Hahahaha we nadhani maana ya kusafisha tumbo hujui kabisaaaa. Bila Shaka ww ni wa mjini

Kimsingi kuna watu wanaelewa nadhani watu wazima ama watu wa kijijini.
 
Wee ndie unataka kuletea watu magonjwa.

Tecnically mwili wa binadam unajisafisha wenyewe involuntiary wala haufosiwa na chochote labda km mtu mgonjwa hivyo kuna malfunction ya some organs otherwise km ni mzima basi mwili hutoa taka wenyewe.
We umekariri vitu ina huelewi chochote
 
Jamani nasisitiza mimi hapa: Safisheni matumbo yenu
 
Cheki thread kama hizi, unadhani chanzo ni nini? Tumbo lake uchafu mwingi

 
We huna tofauti na matapeli wa mitandao ya simu..akiona umemshtukia anaanza kuongea upupu
Nakwambia hv binti sura mbaya choko. Mie siuzi dawa na copy kwenye group nipo. Halafu pia mm situmii hivyo vitu unavyotaka kunipa kwa lazima
 
We huna tofauti na matapeli wa mitandao ya simu..akiona umemshtukia anaanza kuongea upupu
We kunguru boya fuatilia huu uzi

 
njia bora kuliko zote za kusafisha tumbo na mabaki mengine mwilini ni kufanya yafuatayo:

1. Kuwa na tabia ya kufunga kula siku moja kila wiki, ukishindwa kila mwezi
2. kunywa maji mengi kwa siku, (yaani lita 3+)
3. kuepuka kula matunda kwenye tumbo lenye chakula, yaani kula matunda ukiwa na njaa.
4. Epuka kabisa kula nyama na ugali, wali, chapati, mihogo (carbohydrates) kwa wakati mmoja
5. kunywa maji mengi baada ya kufanya mazoezi.
6. Kula kwa kujisikia njaa usile kwa kufuata wakati au uwepo wa chakula.
7. epuka kuchanganya matunda zaidi ya moja, na hasa epuka kula kwa kuchanganya matunda machachu kama limau, machungwa,mananasi, passion na matunda baridi kama matango, matikiti, parachichi,
 
Mnatuchanganya...Wote wapigaji humu
 
Nakwambia hv binti sura mbaya choko. Mie siuzi dawa na copy kwenye group nipo. Halafu pia mm situmii hivyo vitu unavyotaka kunipa kwa lazima
Unajaza seva za JF kwa upupu wako...ungeandika post moja tu na kujieleza kila kitu kwa ufupi na ungeweka mawasiliano yako then ungewasubiri wanaotaka kupigwa ungeendelea nao...siyo unajieleeza kwa urefu wakat ishu yenyewe ni rahisi tu ya kutoa uchafu mwilini..Kenge maji we
 
Dah kwani ugumu wa maisha yako yananihusu nn mimi? Pambana na hali yako mm usiniletee stress za kishamba kaza ndukum wako pambana....acha kuturembulia macho hapa jamvini
 
Naomba kwenye namba 3 hapo ufanye marekebisho, futa neno 'yaani' weka haya maneno ' badala yake'. Kwa namna umendika hapo imepoteza maana ya ulicholenga kusema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi kenge maji wapoje?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…