Pata kadi ya Payooner inayotumika ktk ATM benki zote Duniani

Ha ha ha watu bana, hebu semeni kuhusu chaji zake na ikitokea mhusika kafa. Vipi kuhusu kuweka pesa.
Na maelezo zaidi kuhusu usalama fedha ya mteja.

Najiuliza kwa sauti Hii ni BENKI ni tajiri kiasi gani kumpa $25 kila mteja anayefungua account?
 
Ambao wanaitumia watoe feedback, mleta mada hajaeleza kama yeye anaitumia au la!
 


Ha ha ha watu bana, hebu semeni kuhusu chaji zake na ikitokea mhusika kafa. Vipi kuhusu kuweka pesa.

Toen maelezo basi ni kwamba unaweka pesa kwenye hyo acc au unasajili kwa kutumia acc ambayo ina pesa


Binafsi sina muda wa kukaa online nikijibu maswali,utafikiri napata faida fulani ebo! nimeweka Link kama vipi ingia usome mwenyewe,kama huwezi pita kushoto. AU SOMA HUMU=>>About Payoner Master Card

Watz tumekuwa Taifa la kulalamika weee,kufikiria negatively kwa kila kitu. Tazama Bio yangu.niko JF tangu 2009 hivyo najua namna ya kuitumia hii JF na social media.Unapata kitu kama tip kisha unajiongeza mwenyewe.

Mtu anauliza utafikiri mimi najibu mtihani.Eti mimi nikiwa na hiyo kadi Nikifa inakuwaje?

Narudia tena kama hujaelewa ,nimeweka link,ingia usome kila kitu kimo humo.

Najibu sasa Maswali ya msingi.

1 postal code ya Tanzania ni 35091

2:Ku depost unaweza kutumia paypal

3:Mimi natumia kadi hii miaka 2 sasa
4:Soma hapa=>About Payoner Master Card
 
Ipo salama? Sio wa Bulgaria na wa Nigeria wapo kwenye mfumo
 
1. KADI NILIIPATA

2. NIKAI ACTIVATE

3. ISSUE IKAJA KWENYE KUWEKA FEDHA

4. UJUAJI WANGU WOOTE NIMESHINDWA NITADEPOSIT VIP KWENYE ACCOUNT HIYO NGENI

5. NI MIEZI MIWILI SASA NINALO KAMA PAMBO
Tazama hii video:
 
Bro Rutunga upo?

Kitambo sana enzi hizo upo "manyani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…