Hili nalo neno!!Toen maelezo basi ni kwamba unaweka pesa kwenye hyo acc au unasajili kwa kutumia acc ambayo ina pesa
Kama Ni kutumia hii akaunti yangu yenye hela tayari nina mashaka!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo neno!!Toen maelezo basi ni kwamba unaweka pesa kwenye hyo acc au unasajili kwa kutumia acc ambayo ina pesa
Na maelezo zaidi kuhusu usalama fedha ya mteja.Ha ha ha watu bana, hebu semeni kuhusu chaji zake na ikitokea mhusika kafa. Vipi kuhusu kuweka pesa.
Maswali mawili ya msingi nimejiuliza kuhusu hii huduma:-
Ni nan atakaye control account yangu ilihali utaratibu wa kusajili account kisheria haujafuatwa kama tulivyozoea benk nyingine??!!
Mim nafahamu kadi ya bank hata kama ni worldwide ATM card hutolewa na bank baada ya kufungua account,sasa hii card inatoka bank au VIP??!!
Ha ha ha watu bana, hebu semeni kuhusu chaji zake na ikitokea mhusika kafa. Vipi kuhusu kuweka pesa.
Toen maelezo basi ni kwamba unaweka pesa kwenye hyo acc au unasajili kwa kutumia acc ambayo ina pesa
Ndo wazazi wako wametunzia hela za vitunguu hadi umejua kuna jamiiforums.com acha dharau kima wewe!Sio lazima uwe na akaunti labda hizo Bank za wakulima NMB na CRDB