Plot4Sale Pata Kiwanja kwa Laki 6

Joined
May 21, 2022
Posts
13
Reaction score
7
Viwanja Vyetu Vinapatikana Vianzi Ni Km5 Kutoka Vikindu Na Vimepimwa Kuanzia Sqm 204 Na Kuendelea
Pia Tuna Viwanja Maeneo Mengine Tofauti Na Bei Tofauti.

MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO, MWONGOZO, BAMBA BEACH, GEZA, DEGE Hiyo Yote ni KIGAMBONI DSM.
Pia MVUTI Njia ya CHANIKA Hiyo Ni ILALA DSM.

KONGOWE Km1Nyuma Ya Shule Ya Msingi Mzinga Hii ni TEMEKE.
Ofisi Zetu Zinapatikana Mjimwema Garden Kigamboni Dares salaam Kwa Aboud Jumbe Simu. ,0734-406719 Na 0714-804182.
Wekeza Kwenye ARDHI Na KINGO PROPERTY LIMITED
Sisi Ni Wasukuma Ndoto.

Attachments

  • IMG_20220216_172925_442.jpg
    73 KB · Views: 34
  • Photo_1651994103787.jpg
    102.1 KB · Views: 37
  • IMG_20220216_172925_442.jpg
    73 KB · Views: 35
Vipo Vya Ukubwa Tofauti Mkuu Ukiwa Tayari Njoo tu Boss
VIWANJA BORA KWA AJILI YA MAKAZI

MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO, MWONGOZO, BAMBA BEACH, GEZA, DEGE Hiyo Yote ni KIGAMBONI DSM.
Pia MVUTI Njia ya CHANIKA Hiyo Ni ILALA DSM.

KONGOWE Km1Nyuma Ya Shule Ya Msingi Mzinga Hii ni TEMEKE.
Ofisi Zetu Zinapatikana Mjimwema Garden Kigamboni Dares salaam Kwa Aboud Jumbe Simu. ,0734-406719 Na 0714-804182.
Wekeza Kwenye ARDHI Na KINGO PROPERTY LIMITED
Sisi Ni Wasukuma Ndoto.
 
Weka Bei vya Kigamboni hasa hapo Geza,Kibugumo,Bamba Beach, Mwongozo na Dege hasa kuanzia Sq1500 na kuendela.Nataka kujipima Kama naweza kuja Kigamboni.
 
Weka Bei vya Kigamboni hasa hapo Geza,Kibugumo,Bamba Beach, Mwongozo na Dege hasa kuanzia Sq1500 na kuendela.Nataka kujipima Kama naweza kuja Kigamboni.
Kibugumo KIDETE Beach Plot Sqm@35000/=

GEZA Sqm@20000/=

Mwongozo Sqm 20000/=

Bamba beach Plot Sqm @45000/=

Dege Sqm@20000/=
 
Ina Maana Kwa Hizo Beach Plot Za Sq35000 Kwa Sq1000 Haiwezi Kupungua Kidogo Kama Ni Cash ?
Au Kwa Installment Mnapokea Pia?
Boss Wangu Hiyo 35,000 Tumezingatia Mambo Mengi Sana Lakini Kabla Sijakwambia Punguzo Au Vingine you Njoo Utembelee Mradi Kwanza Mazingira Yatesema Karibu Kiongozi
 
Nipe Bei Ya Chanika
 
Bei Ya Chanika Na Ukubwa Wake Pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…