KINGO PROPERTY LIMITED
Member
- May 21, 2022
- 13
- 7
- Thread starter
- #21
Hakuna Tabu Boss We Hifadhi Hizo Namba Najua Utapata Kiwanja Bora KabisaGood ngoja nihifadhi contact zenu zitanisaidia baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Tabu Boss We Hifadhi Hizo Namba Najua Utapata Kiwanja Bora KabisaGood ngoja nihifadhi contact zenu zitanisaidia baadae
Mkuu beach plot kwa installment inawezekana?Hakuna Tabu Boss We Hifadhi Hizo Namba Najua Utapata Kiwanja Bora Kabisa
Kwa Kutanguliza 50% Unaweza Kulipia Kwa Awamu Kwa Beach Plot Za Bamba BeachMkuu beach plot kwa installment inawezekana?
Na Chanika Pia Utaratibu Huo Inatumika?Kwa Kutanguliza 50% Unaweza Kulipia Kwa Awamu Kwa Beach Plot Za Bamba Beach
Ndio Unatumika BossNa Chanika Pia Utaratibu Huo Inatumika?
Tunauza viwanja vya beach2 vipo kimbiji kwa Charles, square meter1 elf20 cash na hati tunatoa bure. Kutoka main road ni mita700 na kutoka beach ni mita 400! Karibu. Tunauza mpaka square meter 2000 karibu sanaIna Maana Kwa Hizo Beach Plot Za Sq35000 Kwa Sq1000 Haiwezi Kupungua Kidogo Kama Ni Cash ?
Au Kwa Installment Mnapokea Pia?