JONATHAN KAMWAVAH'S
Senior Member
- Oct 9, 2012
- 184
- 24
Mashamba unauzaje?
20*20 napata kwa bei gani?
Na kwa wale wanaotaka maeneo ya fukwe karibuni,kisiju pwani yapo
Ekari moja sh ngapi huko kisiju?
Inategemea yanaanzia laki tano mpaka million mbili kwa heka moja
Million therathini na tano tu.
Kuna wale ambao wana wasiwasi kutokana na wimbi kubwa la matapeli,utaratibu wetu nikama ufuatao kwanza unaonyeshwa eneo na kupewa bei,baada yakuafiki malipano na maandikishano yote yatafanyika serikali ya kijiji,utapewa dokomenti zote zakuonyesha uharari wa umiliki
wao baada ya kulipia,usilipe pesa wakati ujaridhika na utaratibu au ujaridhika na eneo,Asanteni name karibuni.
Basi hao serikali za mitaa nao watakuwa wehu wakupe ofisi zao karatasi zenye nembo zao muhuri wao ufanyie utaperi!?nasema hi yo kwakuwa hayafanyiki malipano Nnje ya serikali ya kijiji.Still bado haionyeshi kuwa hakuna utapeli sababu mnaweza kumuweka mtu wenu akajifanya serikali ya mtaa. Kwahiyo kama unataka kushawishi watu then you have to do more than this
Hahahahaaaaa ndugu yangu bwana,kwanza unaijuwa mkuranga au unaongea tu!niambie mkuranga nisehemu gani yenye bahari Nnje ya kisiju pwani,navyo kwambia nimeizunguka na ninaifahamu mkuranga nzima yenye Kata 20,vijiji 127,vitongoji 477.Hahahaaaa mkuu hapo Mkuranga karibu unapata kwa 10M ekari ya baharini Sasa kisiju mbali kote huko unaweka cha juu kikubwa hivyo? Haupo serious