JONATHAN KAMWAVAH'S
Senior Member
- Oct 9, 2012
- 184
- 24
- Thread starter
- #21
Mashamba yanafaa kwa kilimo gani
Kutokana na ardhi ya mkuranga kuwa na rutuba,na jiografia ya mkuranga,mazao utakayoweza panda ni mengi kama MA Hindi,kunde,maharagwe,karanga,mihogo,mananasi,matango na matikiti maji maeneo yenye bonde,machungwa,maembe n.k