Pata Kiwanja, Shamba kwa bei nafuu maeneo ya Wilaya ya Mkuranga

Mashamba yanafaa kwa kilimo gani

Kutokana na ardhi ya mkuranga kuwa na rutuba,na jiografia ya mkuranga,mazao utakayoweza panda ni mengi kama MA Hindi,kunde,maharagwe,karanga,mihogo,mananasi,matango na matikiti maji maeneo yenye bonde,machungwa,maembe n.k
 
Jumapili nitawapeleka baadhi ya wateja katika mashamba pori,yaliyopo mkamba,hivyo kwawale wa viwanja na mashamba mengine tuwasiliane mapema ili tufanye jumamosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…