Pata kokoto nyeusi(black granite) kwa ajili ya ujenzi.

Pata kokoto nyeusi(black granite) kwa ajili ya ujenzi.

Jema Africa

Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Jema Africa Limited aggregates crushing plant iliyopo Msata Mazizi
inawakaribisha wote wenye ujenzi wa nyumba binafsi au makampuni yanayojihusisha na
ujenzi.Tunazalisha kokoto nyeusi zenye viwango bora kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na barabara.

Bei kwa M3(cubic meter) ni kama ifuatavyo.

Size ya kokoto Bei kwa M3(cubic meter)
1/2 Black aggregates Tsh 33,000
3/4 Black aggregates Tsh 33,000
Black chipping Tsh 22,000
Black dust Tsh 20,000

Bei hapo juu ni Ex Msata,exclusive VAT.

Kwa wale wanaohitaji kuletewa hadi Dar.Transport charge kwa truck yenye uwezo wa kubeba 10 M3 ni Tsh 400,000,
na truck yenye uwezo wa kubeba 20 M3 ni Tsh 700,000.

Wasiliana nasi kwa pm au;
Tel: 0753 982717 ,0719304060 .
E-mail: jemacoltd@gmail.com
 
Mkuu mimi nahitaji 1/2" haraka.

Ila sijakuelewa uanposema transport cost ni 400,000 kwa 700,000. Unamaanisha transport cost peke yake au na mzigo.

Maana najua zinapatikana hapa mjini kwa 800,000/- kwa truck kubwa hizi mnazoita mende, na ukilialia hadi 700,000/- unapata. Zile dumper ndogo ni 90,000/- hadi 80,000/- unapata, japo hizi ndogo hawajazi full.
 
Mkuu kwa 1/2" ni 33,000/= kwa cubic meter 1. Mende inabeba 10 M3 ,bei ya mende moja na Tsh 330,000 Ex Msata,hapo itabidi uje na usafiri wako. Gharama za kukodi mende ni Tsh 400,000, pia kuna semi zile zinabeba 20 M3 zinakodiwa kwa laki 7.
 
Ok. So unaweza kuniletea hiyo mende 10m3 kwa 700,000/-.

Kokoto zako unaponda na mashine?
 
Back
Top Bottom