Pata laptop kali sana kwa bei ya matango pori.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,050
JF...!
Kama kawaida kijana wenu hapa nimeamua tushirikishane baraka, ustajiri and whatever.

Ninauza min laptop kali sana mtumba, aina ya Samsung net book(Black coloured), RAM 1GB, Processor 320, webcam, wifi, inatunza chrge vizuri etc

Bei ni 38000 tu, Changamkia fursa hii(Nipo moro)
 
unazo nyingi?
 
nadhani hiyo laptop inafanana zaid na tangopori kuliko laptop.
 
unauza Laptop 38,000??. are you sure its a laptop?
 
JF...!
Kama kawaida kijana wenu hapa nimeamua tushirikishane baraka, ustajiri and whatever.

Ninauza min laptop kali sana mtumba, aina ya Samsung net book(Black coloured), RAM 1GB, Processor 320, webcam, wifi, inatunza chrge vizuri etc

Bei ni 38000 tu, Changamkia fursa hii(Nipo moro)

hard disk je?
 
kwa 38,000/= hiyo itakuwa ni HOTPOT na sio LAPTOP
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, huu ni utapeli wa mchana, laptop kwa 38000!??
 
mkuu ebu tusaidie sababu za kuuza bei rahisi hivyo maana una moyo wa upendo zaidi ya mshumaa
 
Back
Top Bottom