Kwamba majirani walijifungia ndani kana kwamba hamna kitu,hiyo ni kielelezo cha namna mlivyokuwa mnaishi nawo,kuna watu mnakuwa nawo majirani lakini hata salamu hakusalimii,ni yeye na wageni wake,siku akipata tatizo ndiyo anakumbuka kumbe kuna majirani.