Pata matatizo ujue marafiki wa kweli

Pata matatizo ujue marafiki wa kweli

Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.
Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.

: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu)
: Uliye mdharau anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko uliokuwa unawategeme.
: True love from Ex tuliyeachana kwa Mimi kumtukana sana na kumdharau kupita kiasi.
: Dharau kwa uliyetegemea akufariji hadi kumuacha Ex
: Kwenye msiba ndugu ni mzigo kuliko msaada. Wengi wanakuja kula, kuomba msaada sio msiba
: Msaada mkubwa kwa usiye mdhania au kumfikiria.
: Baaddhi ya mjirani kujifungia ndani kana kwamba hawaji kufiwa
: Wengi tuliowategemea ni marafiki wa baba ni wachonganishi wakubwa na wanafiki nia mgombane wafaidi.

Mambo ni Mengi sana ikiwepo ndugu kuomba kizinga cha hela ya bia wakati majonzi yametawala😂😂😂.

Amini Dunia ina Mengi, kuwa uyaone.
Mkuu nna kitabu kimeandikwa jifunze jinsi ya kuwa na roho mbaya,kina page 3000,nipo page ya 30,nikimaliza ntakuazima ukisome kitakusaidia, nilikuwa na roho nzuri na mwema,ila malipo yalinifanya nitafute hiki kitabu toka mahala pa mbali. Mkuu ukimaliza kukisoma hiki kitabu hutokuwa na huruma tena na kiumbe.
 
Pole sana kwa kuondokewa na baba.
Hilo ndio la muhimu, hayo mengine ni matokeo ya tabia zake wala asilaum mtu.

Amesema kweli kuwa alimtukana sana Ex wake. Na huyo Ex ndiye amekuja kumpa support, anadai yule mpenzi aliyesababisha Amtukane Ex kamdharau......so unaweza kuona huyu mtu ni wa namna gani.
 
Ndio uhalisia
Ukiwa disappointed kwa sababu ya vitu kama hivi maisha yako utayaona magumu siku zote
Hawa walalamikaje ndio watu wa hovyo.

Ni sawa na wale mademu wanajiona wazuri kila mwanaume wanapita naye.

Ukimshauri awe makini anakutukana, baadae akishapigwa mimba Single maza na ukimwi juu akaachwa, mkijikalia kimya mkaachana naye anaanza kulalamika kwamba Dunia haina huruma, ooh hata ndugu wamemkimbia.😅😅😅

Dunia ni nzuri sana imejaa neema tupu inategemeana wewe unaishije
 
Exactly, huwezi lazimisha mtu akupe msaada sababu una matatizo while hujui anayopitia amenyamaza kimya
 
Hawa walalamikaje ndio watu wa hovyo.

Ni sawa na wale mademu wanajiona wazuri kila mwanaume wanapita naye.

Ukimshauri awe makini anakutukana, baadae akishapigwa mimba Single maza na ukimwi juu akaachwa, mkijikalia kimya mkaachana naye anaanza kulalamika kwamba Dunia haina huruma, ooh hata ndugu wamemkimbia.😅😅😅

Dunia ni nzuri sana imejaa neema tupu inategemeana wewe unaishije
Point
 
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.

Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.

: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu)
: Uliye mdharau anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko uliokuwa unawategeme.
: True love from Ex tuliyeachana kwa Mimi kumtukana sana na kumdharau kupita kiasi.
: Dharau kwa uliyetegemea akufariji hadi kumuacha Ex
: Kwenye msiba ndugu ni mzigo kuliko msaada. Wengi wanakuja kula, kuomba msaada sio msiba
: Msaada mkubwa kwa usiye mdhania au kumfikiria.
: Baaddhi ya mjirani kujifungia ndani kana kwamba hawaji kufiwa
: Wengi tuliowategemea ni marafiki wa baba ni wachonganishi wakubwa na wanafiki nia mgombane wafaidi.

Mambo ni Mengi sana ikiwepo ndugu kuomba kizinga cha hela ya bia wakati majonzi yametawala😂😂😂.

Amini Dunia ina Mengi, kuwa uyaone.
Umejifunza sasa utakuwa na, heshima, busara na hekima, ukikosa wazazi akili inakuwa na mtazamo wa upamoja ndio Dunia hii
 
Pole ndugu.... Mambo yapo hivyo mara zooote pengine ulikuwa na matarajio makuubwa kutoka kwa hao jamaa. Kama X amekuwa msaada mara ingine jamaa nao watakuwa msaada kwenye nyanja zingine. Ona vile uliyemtusi amekufaaa...
 
Kamata kanuni hii itakusaidia:

➡️➡️➡️ Maisha yako ni jukumu lako wewe mwenyewe kwa asilimia 100 na misaada ya watu wengine siyo haki yako; na hivyo hupaswi kuilalamikia iwe ni kutoka kwa ndugu au marafiki maana hakuna mtu aliyezaliwa ili aje akusaidie wewe. Ukisaidiwa shukuru Mungu. Usiposaidiwa napo shukuru Mungu maana yote yana faida; na kamwe usilalamike, kukwazika na hata kubeba visasi moyoni. Mwisho wa yote tambua ukomo na nafasi yako katika maisha ya watu na uishi bila kutegemea cho chote kutoka kwa mtu ye yote.

Ni hayo tu kwa sasa

Pole sana kwa kuondokewa na baba yako. Badala ya kumakinikia ubaya wa walimwengu, hebu wekeza kwenye kudumisha mema na utu wa mzee wako ili legacy yake ikaendelee kuishi kupitia kwako 🙏🏿
 
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.

Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.

: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu)
: Uliye mdharau anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko uliokuwa unawategeme.
: True love from Ex tuliyeachana kwa Mimi kumtukana sana na kumdharau kupita kiasi.
: Dharau kwa uliyetegemea akufariji hadi kumuacha Ex
: Kwenye msiba ndugu ni mzigo kuliko msaada. Wengi wanakuja kula, kuomba msaada sio msiba
: Msaada mkubwa kwa usiye mdhania au kumfikiria.
: Baaddhi ya mjirani kujifungia ndani kana kwamba hawaji kufiwa
: Wengi tuliowategemea ni marafiki wa baba ni wachonganishi wakubwa na wanafiki nia mgombane wafaidi.

Mambo ni Mengi sana ikiwepo ndugu kuomba kizinga cha hela ya bia wakati majonzi yametawala😂😂😂.

Amini Dunia ina Mengi, kuwa uyaone.
ULiwekeza sana kwenye marafiki zaidi kuliko maisha yako binafsi nadhan somo limekuingia vizuri
 
  • Ukifikisha miaka 40+ jua hatima ya maisha yako/changamoto zako ni za kwako wewe mwenyewe, usitegemee mtu yeyote kukupa faraja; akitokea basi, jua ni bahati.​
  • Jikite kwenye uzao wako; wewe, mkeo na watoto; hao ndio watakuwa na uchungu na wewe kama malezi uliyaweka vizuri.​
  • Hawa wengine wa nje wana changamoto zao za kifamilia, kiuchumi, kimahusiano; kwa hiyo usiwategemee sana, wako kwako kwa ajili ya kusaka fursa tu.​
 
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.

Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.

: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu)
: Uliye mdharau anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko uliokuwa unawategeme.
: True love from Ex tuliyeachana kwa Mimi kumtukana sana na kumdharau kupita kiasi.
: Dharau kwa uliyetegemea akufariji hadi kumuacha Ex
: Kwenye msiba ndugu ni mzigo kuliko msaada. Wengi wanakuja kula, kuomba msaada sio msiba
: Msaada mkubwa kwa usiye mdhania au kumfikiria.
: Baaddhi ya mjirani kujifungia ndani kana kwamba hawaji kufiwa
: Wengi tuliowategemea ni marafiki wa baba ni wachonganishi wakubwa na wanafiki nia mgombane wafaidi.

Mambo ni Mengi sana ikiwepo ndugu kuomba kizinga cha hela ya bia wakati majonzi yametawala😂😂😂.

Amini Dunia ina Mengi, kuwa uyaone.
Aisee
 
Mkuu nna kitabu kimeandikwa jifunze jinsi ya kuwa na roho mbaya,kina page 3000,nipo page ya 30,nikimaliza ntakuazima ukisome kitakusaidia, nilikuwa na roho nzuri na mwema,ila malipo yalinifanya nitafute hiki kitabu toka mahala pa mbali. Mkuu ukimaliza kukisoma hiki kitabu hutokuwa na huruma tena na kiumbe.
Mpaka hapo bado huna roho mbaya ndio maana unataka kumpa hicho kitabu.
 
Back
Top Bottom