Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

Wakuu napokea oda kwa ajili ya kesho asubuhi, karibuni sana.
 
Kwanini unanunua ya Asas na Brooklyn wakati kuna wameru wengi wauza maziwa Arusha?Au unapenda kununua kwenye kabox🤣
Kuna maziwa nilinunuaga kwa mtu nikakuta yana shombo kabisa linasikika, sijawahi kurudia
 
Kuna maziwa nilinunuaga kwa mtu nikakuta yana shombo kabisa linasikika, sijawahi kurudia
Wako wameru wauza maziwa wasafi.Umekutana na wale wanaotembeza wenyewe bila oda.Ukipata wenye oda huwezi kupata hilo tatizo.Tafuta mmoja weka oda ya kila siku hutajutia.
 
Wako wameru wauza maziwa wasafi.Umekutana na wale wanaotembeza wenyewe bila oda.Ukipata wenye oda huwezi kupata hilo tatizo.Tafuta mmoja weka oda ya kila siku hutajutia.
Ya oda tutapishana.. sina wa kuyapokea asubuhi, maana kuna sku naondoka saa 1 na nusu, siku nyingine nawahi, siku nyingine saa 2 kasoro. Hapatabiriki..
 
M. Hata sikuamini hayo maziwa niambiee ngombe mnafuga wapi na eneo liko wapi. Ifike nijiridhishe vzr

Isije kuwa una shirikiana na wachina kuuwa na kuaribu afy za watanzania
 
Ya oda tutapishana.. sina wa kuyapokea asubuhi, maana kuna sku naondoka saa 1 na nusu, siku nyingine nawahi, siku nyingine saa 2 kasoro. Hapatabiriki..
Hivi ukiniajiri nikupokelee maziwa utapungukiwa nini?
 
Lita elf2? Hongera sana.
Kwanini Asas na kina brooklyn wanatupiga? Lt1 ni 4500-6500
Au kisa kale ka box?
Industrial processes Kwa TZ ni ghali sn I think kuliko kitu chochote,,materials yote ya viwandani ni ghali mno kingine Kwa sasa kl mtu anapanga bei anayotaka and no one is asking
 
Back
Top Bottom