Pata Mbegu bora za Mbaazi, Choroko, Dengu na ushauri wa Kilimo Biashara

Am looking for these seeds called perilla seeds right here in Tanzania

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu habarini za wakati huu nahitaji kujua ni wapi zinapatikana mbegu bora na zilizothibitishwa kitaalamu za choroko maana kwa sisi wakulima wa pamba ni kheri tulime choroko tu
 
Njoo Masasi kilo moja sh 2500.
 
Back
Top Bottom