Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

Huyo boer bonge la kifua, fua fua....kawazidi hadi wapenzi wa watu.....

Biashara njema mkuu
 
Anauza bei kulingana na uhitaji wako,
Kama kwa ajili ya mboga anauza bei juu
Kama kwa ulinzi bei chini kidogo..
Kuweka bei ni muhimu bila kujali mteja anaenda kumtumia kivipi. Au agesema bei ni maelewano ili kieleweke.
 
Sijui kwanini baadhi ya waTanzania huwa hatuweki maelezo yaliyokamilika linapokuja suala la bei, tunataka tufatwe inbox ndo tutiririke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…