Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

Sijui kwanini baadhi ya waTanzania huwa hatuweki maelezo yaliyokamilika linapokuja suala la bei, tunataka tufatwe inbox ndo tutiririke
Kono La Nyani/Sokwe Atapigwa Mtu Aone Kizunguzungu
 
Sijui kwanini baadhi ya waTanzania huwa hatuweki maelezo yaliyokamilika linapokuja suala la bei, tunataka tufatwe inbox ndo tutiririke
Ni kitu kinachoshangaza kidogo. Yani hapo ujue bei utakayopewa itakuwa determined na jinsi ww ulivyokuja.
Kwa mfano:
Mteja akija ni mnadhifu, lugha ya upole- atapewa bei ya wastani
Akija mteja amejaladia suti na iST, simu janja mkononi masaa yote atapewa bei ya juu kidogo.
Akija mteja amejaladia vizuri, ana simu janja na gari ya bei mbaya bei itakuwa ya juu sana
Akija mteja anaagiza kwa simu na yupo mkoani huyo atapigwa bei ya juu sana
Akija mteja ana muonekano wa choka mbaya, amepinda hajala toka asubuhi ataambiwa mbwa wameisha. n.k.
Ndo biashara za kibongo-bongo hizo.
Huku Umasaini wapo Germanshephard wa shs.70,000/=
 
Sijui kwanini baadhi ya waTanzania huwa hatuweki maelezo yaliyokamilika linapokuja suala la bei, tunataka tufatwe inbox ndo tutiririke
jibu lao hua ni cheki DM kwa maelekezo zaidi.

Na ujue huko DM unaenda kupigwa fedha ndefu sana kuliko uhalisia.

Ndio maana hawataki kutoa full detail in public 😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
jibu lao hua ni cheki DM kwa maelekezo zaidi.

Na ujue huko DM unaenda kupigwa fedha ndefu sana kuliko uhalisia.

Ndio maana hawataki kutoa full detail in public 😂😂
Halafu kitu ambacho hawajui ni kuwa hakuna njia rahisi ya kutengeneza awareness kama kutumia midomo ya waliosoma tangazo lako.

Mfano let's say mimi ni mtu mzima, 50's sifugi mbwa ila nafahamiana na watu wanapenda mbwa, nikisoma tangazo lako la mbwa likiwa na full details ni rahisi sana siku nikikutana na mpenda mbwa huko bar au kanisani au kwenye vikao ikaja mada za mbwa mimi kuitoa hiyo taarifa kuna mtu ana jambo A,B,C lipo maeneo D,E,F,G bei zake zinachezea H,I,J,K na namba zake za simu hizi hapa 075xxxxxxx. Embu ulizia.
 
Ni kweli kabisa lakini ubaya skuizi wanao fanya commercial advertisement ni hawa wanawaita ma-winga.

They have ulterior motives, kwahiyo hawaweza sema full details ili nao wapate chochote kitu huko inbox.

Hii ndio changamoto ya kutafta watu wakufanyie branding ya biashara yako.
 
Wanakera sana.
 
Tabu sana.
 
Back
Top Bottom