Nkandi
Member
- Nov 20, 2010
- 83
- 42
Salaam Mwanajamii,
Kati ya Vitu vinavyowapa shida wajasiliamali wengi wa hapa nchini ni ukosefu wa mtaji wa kutosha, na hivyo kuamua kutafuta mikopo kutoka taasisi za fedha.
Katika utafiti wangu katika ujasiliamali,nimegundua kuwa taasisi za fedha za hapa nchini hazipo katika kusaidia wanaoanza kibiashara bali zipo kuwaendeleza waliopo kwa kuwanyonya zaida kwa riba kubwa na kuwatumikisha wajasiliamali,tuachane na haya ya utumikishwaji wa riba kubwa kwakuwa hali ya hapa wetu bila kupata mkopo,utakabiliwa na changamoto ya mtaji katika biashara..labda uwe mporaji sehemu nyingine na uweke katika biashara.
Kinachofanya mtu apate mkopo ni CASH FLOW yake ambayo ndiyo picha kuu inayoweza kufanya upate mkopo kwa nyongeza ya vigezo vingine kama dhamana n.k ingawa hivi huwa ni addition criteria, dhumuni la kuandika hii ni kushirikisha mawazo yangu kwa wajasiliamali wengine katika namna ya kujiandaa kupata mkopo SASA
Kwa wenye biashara tayari yawapasa wafahamu kuwa ni vyema uwe na akaunti katika benki moja,kutegemeana na biashara yako; kama inahusisha na hela za kigeni basi uwe na akaunti katika benki moja tu ambayo wadhani itakidhi mahitaji yako.Umuhimu wa kufanya hivi ni kuifaya benki ikufahamu vizuri kitu ambacho kitakuja siku moja kukusaidia.
Kuhakikisha pesa zote zinazoingia zinapelekwa benki,yabidi kuweka utaratibu wa kutokulipa pesa yoyote kabla ya kupitia benki. Pia kama wewe mmiliki unavyanzo vingine,pitish tu kwenye akaunti,ata mtu akikupa pesa ya kulipa kitu,pitisha tu.Hii itafanya akaunti iwe 'active' kwa kuweka na kutoa
Kuhakikisha mnatunza kumbukumbu za manunuzi,mapato,matumizi na taarifa zote za benki. Hii itarahisha evaluation ya ukuaji,mafanikio kimapato katika biashara
Kwa Wamiliki,kwa biashara nyingi nchini major signataroy ni mmiliki hivyo anaweza kutoa pesa wakati wowote.Wamiliki inashauria usitumie pesa ya biashara kwa matumizi binafsi kwakuwa kwa kufanya hivi hautoruhusu biashara yako kukua unless iwe lazima sana,na ikitokea lazima ujue namna ya kurudisha kwa wakati bila kuathiri biashara. Zingatia: Business and Owners are different Entities (Business Concept)
Kitu kingine cha kuzingatia, Ruhusu biashara ijiendeshe,yaani waache wale unaofanya nao kazi wawe na nafasi ya kushauri na kufanya baadhi ya maamuzi katika biashara kwa kuwa wanaweza kuwa wameona fursa ambayo wewe haujaiona hii yaweza kuchangia kipato kwa kuwa itafahamika kipato cha biashara kama ipo katika faida au hasara kwakuwa kutokuingilia kwako kunaweza kukupa ujuzi mpya kuhusu team uliyonayo
Kuhakikisha unaogeza kipato cha biashara pamoja na kujiandaa kuwa na dhamana yenyewe na thamani zaidi ya 30% ya hela unayowaza kukuopa kutoka benkibaada ya kuweka na riba yao) baada ya muda fulani,hii inaenda pia na cash flow ya account yako ya biashara kwakuwa hivi vyote vitasaidia kuhakikisha unapata mkopo SASA.
NB:UKUBWA WA BIASHARA NI KIPATO CHAKE NA UWEZO KU 'COVER' COSTS NA KUWAFAIDISHA WANAHISA/WAMILIKI
Naomba Kuwasilisha.
Ushauri na Maoni: kkmarketing61@yahoo.com