Pata picha vitu vyote hivi vinakukabili unafanyaje?

Pata picha vitu vyote hivi vinakukabili unafanyaje?

unadaiwa kodi ya nyumba,
Unadaiwa tala
Unadaiwa brunch
Unadaiwa tigopesa
[emoji23][emoji23]
mbona simple sana hiyo,kuna watu wanadaiwa had anasahau kuwa sehem flan alishakopa,anarud na Maelezo yaleyale bila kujijua kuwa alishayakopea awali,nilimwangalia tu na sikumuumbua,nlimwambia hii chukua tu wala usrudishe
 
[emoji3][emoji3]

Daiwa vyote lkn si kodi ya nyumba. Inaumiza sana kichwa.
 
Hapo kubwa ni moja tu... Kodi
 
Unaazima pesa kwa jamaa yako.

Unalipa tigopesa kisha wanakukopesha kwa kukuongezea kiwango.

Unatoa tigopesa unamlipa jamaa yako, kisha inayobaki.

Unalipa tala kisha wanakuongeza na unakopa tena.

Unalipa branch unakopa tena.

Unakusanya zote unalipa kodi ya nyumba kisha unaendelea kupambana..

Kodi ni muhimu zaidi maana tala na branch hawawezi kukuamsha usiku umelala ila mwenye nyumba anaweza..na hapa target ilikuwa kumaliza kodi ya nyumba.
 
Umesahau vikoba na michezo ,plus michezo ya vikundi
 
Back
Top Bottom