INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

mkuu nyumba ya million 5 chumba na sebule inawezekana?,angalau sample
 
nyumba kama hizo hapo za level moja (single storey) kwa makadirio ya haraka haraka bei geni kuijenga mwanzo mpaka mwisho ?
Kuna ya vyumba vitano 75m pia vyumba vinne 65m karibu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…