sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,540
- 865
- Thread starter
- #461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kiongozi karibu sanaSiraji
Jaribu kutonyesha picha ya miradi uliyotekeleza hata kama haijakamilika.
Kaka tunamshukuru kwa ushauri elevation zote tunazo weka hapa zote ni ramani za nyumba za wateja wetu hapa hapa TanzaniaKuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam