Ndio mkuu hata ukiwa dar tutakufanyia kazi yako kwa uaminifu karibu sana
Kwa mawasiliano zaidi waweza kunipigia 0678195114
Hili dude room ngapi.?Chora na jenga nasi kwa gharama nafuu sasa
Piga 0678195114 View attachment 1855298View attachment 1855299View attachment 1855300
Makadirio ya gharama za ujenzi wote mpaka boma likamilikeHii vyumba vitano
Two masters
Vymba vitatu vya kawaida vyenye choo ndani
Sebule
Dining
Store
Public toilet
Karibu sana kiongozi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha tujichange. Umenipa matumaini nilijua utaniambia 100M acha tujipange tutafikaMakadilio mpaka tunakabidhi nyumba ni 65m ila hapa itategemea na materials ambazo tuta suggest yatumike inaweza kuongezeka au kupungua pia kwa boma tu bila finishing ni 29m karibu sana kiongozi

Poa mkuu tuombe uzima
Na ofisi zinapatikana wapi .?
Hii unasema million 65 imekamilika mzeya?Chora na jenga nasi kwa gharama nafuu sasa
Piga 0678195114 View attachment 1855298View attachment 1855299View attachment 1855300
Kaka hii vyumba vingapi na mpak kukamilika approximately ni sh ngap , nitakununulia ramani tuu ujenzi natafta fundi wanguHaya wazee wa non-roofing au contemporary hapa tuna mafundi wazoefu wa kujenga na kuezeka nyumba hizi waliobobea hasa katika kuhakikisha hazivuji karibuni sana wakuu.
View attachment 2313949View attachment 2313950View attachment 2313952
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aise kumbe ukiwa na million 100 unatoa bonge la nyumba.
Dimensions zake?Hii kaka ni chumba kimoja tu
Master bedroom
Sebule
Jiko
Dining
Mpaka kukamilika 12.5m
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Basi hii ndo naitaka Kaka sh ngapi ramani ?Hii kaka ni chumba kimoja tu
Master bedroom
Sebule
Jiko
Dining
Mpaka kukamilika 12.5m
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pamoja mkuuTuko mwanza nyerere road mkabala na bank ya NBC ila tunafanya kazi Tanzania bata na visiwani pia tuna kufikia.
Karibu sana kiongozi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
So hiyo 13m ni jumlisha mashimo ya choo ama? Na ujenzi mwasimamia wenyewe?Inachukua kwenye kiwanja Cha 7.5 kwa 9 square m karibu sana kiongozi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee ipo mwake mzeya👍Kila kitu boss mpaka tunakabidhi ukihitaji kusimamia pia tutasimamia bossView attachment 2314446View attachment 2314448View attachment 2314449
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haka katafaa kwenye migegedo yangu...hiyo roof sii naweza badilisha ikawa roof ya zege ili juu niweke simtank la maji?Kila kitu boss mpaka tunakabidhi ukihitaji kusimamia pia tutasimamia bossView attachment 2314446View attachment 2314448View attachment 2314449
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Poa kiongozi
Yaani wewe kila sehemu lazima uingize maswala yako ya uchakatajiHaka katafaa kwenye migegedo yangu...hiyo roof sii naweza badilisha ikawa roof ya zege ili juu niweke simtank la maji?
Hatari hii 😍😍😍. Ramani yake napata kwa bei ganiChora na Jenga nasi kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 2314641
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hoi ndio nini mkiu? Vyumba self?Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
View attachment 2315464
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app