INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Siraji
Jaribu kutonyesha picha ya miradi uliyotekeleza hata kama haijakamilika.
 
Kuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam
Kaka tunamshukuru kwa ushauri elevation zote tunazo weka hapa zote ni ramani za nyumba za wateja wetu hapa hapa Tanzania
Karibu sana na ahsante kwa maoni yako
 
Kuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam
Kaka tunamshukuru kwa ushauri elevation zote tunazo weka hapa zote ni ramani za nyumba za wateja wetu hapa hapa Tanzania
Karibu sana na ahsante kwa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…