Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

Black Thought

Senior Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
161
Reaction score
408
Habari wakuu,

Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako.

Marekebisho ninayofanya ni
>Kuongeza au kupunguza ukubwa wa nyumba/vyumba bila kuathiri muonekano wa jumla
>kukuchorea 'site plan' kulingana eneo lako
>Nitachora 'Block plan' kwa viwanja vilivyopimwa
>mabadiliko mengine madogo yasiyo athiri mpangilio wa jengo
Gharama ya ramani ni shilingi laki moja .
Na nitatoa 'offer' ya ziada ya kwenda site ya mteja (hii ni kwa wiki hii ya kwanza mpaka kufikia tarehe nane April na ni kwa 'site' za Dar na kibaha pekee). Kwa mawasiliano nicheki kwa whatsappp 0754945444 au call 0717682856.
Bei hii ya Offer haihusishi ramani za ghorofa. But kutakuwa na maongezi ya punguzo pia kulingana na kazi ya ghorofa inayotakiwa

Karibuni.

hii ni moja kati ya kazi zangu. Juu ikiwa ni plan na chini ni '3D view' yake

 
Hebu toa details ya hii. Vyimba vingapi. Ina sqm ngapi na estimatio cost.
 
Hebu toa details ya hii. Vyimba vingapi. Ina sqm ngapi na estimatio cost.
Vyumba vitatu (kimoja ni master), inachukua eneo la mita 12.5 kwa 12.9 (ambapo builtup area ni 141.2sqm)
 
contacts (0754945444) nimeweka pale juu kwenye uzi mkuu.
mimi nipo Dar, Ofisi ni mikocheni B
AQRB

AQRB mko wapi njooni huku muone yanayofanyika.....
 
Habari wakuu,
Tunatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba kwa bei/gharama nafuu.
Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako.
Marekebisho ninayofanya ni
>Kuongeza au kupunguza ukubwa wa nyumba/vyumba bila kuathiri muonekano wa jumla
>kukuchorea 'site plan' kulingana eneo lako
>Nitachora 'Block plan' kwa viwanja vilivyopimwa
>mabadiliko mengine madogo yasiyo athiri mpangilio wa jengo
Gharama ya ramani itakuwa shilingi laki moja, na ramani zipo 2bedrooms, 3br, 4br to 5br. Ukihitaji jengo tofauti na nyumba ya kawaida tunafanya pia.
Gharama ya kwenda site kucheki tutazungumza. Kwa mawasiliano nicheki (serious only) kwa whatsappp 0754945444 au 0717682856.
Zingatia:
Bei hii ya Offer haihusishi ramani za ghorofa.
Kumbuka: Ujenzi wa Nyumba bora na nafuu huanzia katika hatua ya michoro (designing).

Picha chini ni baadhi ya '3D views' kutoka katika Maktaba ya 'designs' zangu. Karibu

 
Mpo vizuri. Ukiwa nje ya DSM unapataje huduma zenu.
 
Mpo vizuri. Ukiwa nje ya DSM unapataje huduma zenu.
Nicheki kwa namba izo whatsapp mkuu (0717682856), inawezekana tu kuna options kibao. Hata sasa nipo moro kwa kazi hizi. SO ukiwa tayari nitafute tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…