Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Leo hii nimekaa chini na kujiuliza kwanini maandamano ya IFM yaliyokuwa hayana chembe ya fujo yalizimwa kwa nguvu kubwa? hiii ni baada ya leo kuyaona yale ya St John University yakisindikizwa na ving'ora! Ukweli unabaki kuwa ukaribu wa chuo cha IFM na hostel zao za Kigamboni na "main no go area" ni chini ya kilometer moja na lolote laweza kutokea katika hizi zama za Arab spring revolution na inteligensia inasema wakina Ras Makunga walipata wakati mgumu sana kujua wapi watege mitego yao ya kuzuia potential threat kwa Jamhuri ukizigatia wameonywa kupoteza mpunga wao kama yeyote atagusa geti la makao makuu ya uhai wa serikali hii! kilichotokea Tahrir square kinafanya viongozi wengi wa Africa wasilale! Nawashauri wale wa Mtwara wajaribu kutumia njia hii ya kujongelea lango lile na haki ya mama watasikilizwa! Ni hayo tu....