Pata sababu kwanini maandamano ya IFM yalishughulikiwa vilivyo

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Leo hii nimekaa chini na kujiuliza kwanini maandamano ya IFM yaliyokuwa hayana chembe ya fujo yalizimwa kwa nguvu kubwa? hiii ni baada ya leo kuyaona yale ya St John University yakisindikizwa na ving'ora! Ukweli unabaki kuwa ukaribu wa chuo cha IFM na hostel zao za Kigamboni na "main no go area" ni chini ya kilometer moja na lolote laweza kutokea katika hizi zama za Arab spring revolution na inteligensia inasema wakina Ras Makunga walipata wakati mgumu sana kujua wapi watege mitego yao ya kuzuia potential threat kwa Jamhuri ukizigatia wameonywa kupoteza mpunga wao kama yeyote atagusa geti la makao makuu ya uhai wa serikali hii! kilichotokea Tahrir square kinafanya viongozi wengi wa Africa wasilale! Nawashauri wale wa Mtwara wajaribu kutumia njia hii ya kujongelea lango lile na haki ya mama watasikilizwa! Ni hayo tu....
 
mlitishia sana na nguvu yenu ya umma (kijiko) sasa sijui mmeishia wapi na chadema yenu. mngejaribu mngeona nguvu halisi ya umma kama ile ya kule bara Arab. sasa mmeishia kutuandikia maandamano ya madent. porojo.
 
hayo ni mawazo ya kuku sawa sawa tu na mawazo ya viongozi wenu wa serikali na chama chake cha manyinyi-em na strategic plans zenu za miaka mitano. mnawaza kama kuku, warafi-wabinafsi na msio na huruma kama fisi, na wababe kama nyati. japo pia ni wapumbavu kama nyumbu!
 
Nataka kila mtu ajue kuwa serikali ya ccm ina kilakitu kama, mabomu, risasi, bunduki, magari, askari waliofeli, vifaru, ndege na pesa, lakini hawapo na kitu kimoja ambapo vyote walivyonavyo ni bure tu, hawana mungu wa kuwanusuru 2015, watz hakuna kuogopa
 
Leo hii nimekaa chini na kujiuliza kwanini maandamano ya IFM yaliyokuwa hayana chembe ya fujo yalizimwa kwa nguvu kubwa? hiii ni baada ya leo kuyaona yale ya St John University yakisindikizwa na ving'ora! Ukweli unabaki kuwa ukaribu wa chuo cha IFM na hostel zao za Kigamboni na "main no go area" ni chini ya kilometer moja na lolote laweza kutokea katika hizi zama za Arab spring revolution na inteligensia inasema wakina Ras Makunga walipata wakati mgumu sana kujua wapi watege mitego yao ya kuzuia potential threat kwa Jamhuri ukizigatia wameonywa kupoteza mpunga wao kama yeyote atagusa geti la makao makuu ya uhai wa serikali hii! kilichotokea Tahrir square kinafanya viongozi wengi wa Africa wasilale! Nawashauri wale wa Mtwara wajaribu kutumia njia hii ya kujongelea lango lile na haki ya mama watasikilizwa! Ni hayo tu....

sasa mkuu unafanisha vitu vya mjini na kijijini bana vipi mkuu pale IFM ni mjini sasa huko dodoma si baadae sana na kizuri zaidi aliyeuwa kakamatwa sosi TBC..
 
Back
Top Bottom