Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Hiki kwanini mtu akitangaza biashara mtandaoni baadhi ya watu uchukia, kukasirika na kutamini ushindwe ukose wateja upotee kwenye ramani.

Hivi hili kundila la hawa watu unufaika na nini watu wakishindwa kufikia malengo?
 
Watejawangu wa Dagaa wa kukaanga leo kuna punguzu la bei.

Ndoo moja nitakuuzua 80,000 tu. Kwamaelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.digxam.site
 
Napatikana masoko ya Kingalu na Mawenzi Morogoro mjini na pia Dodoma Soko la Majengo.
Namba yangu ya mawasiliano ni 0714080785 / 0784714060
Kuwa mstaarabu. Funguo uzi wako na sio kutumia uzi wa mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…