Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Pole mkuu. Huku kwenye mtandao usiamini watu kabisa kabisa.
 
Ni kweli kabisa. Samaki wa Dar ni wazuri. Pia kuna samaki wanatoka bwawa la Nyumba ya mungu ni wana ladha nzuri sana.
Nyie ukipitia kwenye baadhi ya comments zenu kwenye Thread hii zinaweza kuwasaidia watafiti wanaumiza kichwa na kutatufa sababu ya kwanini Africa imekwama kusonga mbele kimaendeleo.
 
kuna baadhi ya watu hapa Dunia wangepewa kazi ya kutoa ridhiki kwa wengine tungekoma.
 
Sato wa 30000 wa kukaanga wanakuwa wangapi?na wa size gani?
 
Mwanzoni ulisema uko rocy city for14 yrs.
Ukatamani kumsaidia yule mtu alolalamika.

Nikaja kushangaa unaulizs gharama za kutuma kwandege .hapo nlishangaa kwasababu ungeweza kuuliza wenyeji huko..!wasalimie huko✌️
... Kumbe unasoma halafu unachanganya.

Niliandika niko JF for 14 yrs kwa maana kwamba nimejiunga mwaka 2011.

Mwanza niko hapa kwa miaka 22 sasa

Read again..
 
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Kama sio kila mtu tapeli kwanini usitume mzigo kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…