Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Kule mwanzo si umeandka kg1 ni 18k....imekuwa tena 20k


Nauliza hvyo kwasabbu wanasema huwa wanauza kwa sado....sio kg sasa sijajua sado =kg au
Bei zinabadilika kulingana upatikanaji wa samaki.

Mimi siuzi kwa sado nauza kwa kg.
 

Unaweza tumia Lipa namba au CRDB na NMB bank
 

Attachments

  • 1000064392.jpg
    38.5 KB · Views: 17
Sato wa 30000 wa kukaanga wanakuwa wangapi?na wa size gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…