Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Nimechekaaa😆😆Nisaidie samaki gani hata kwa sie wa bara naweza kumfurahia maana nasikia jodari sijui nungu mara kibua, basi mwenzio nahisi km majini jini tu😀😀
Sasa jina la jodari au nungu,,,😅😅😅Nimechekaaa😆😆
1.changu
2.tasi
3kibua
4.Jodari (ukimkosea kumuandaa anawasha🥴)
Hao jaribu kukaanga .wazuri very tastey.
Bdw Nakumis!
Eti unahis majini majini 🤣🤣🤣
Hamu ya kulaboost wine..anza na tasiSasa jina la jodari au nungu,,,😅😅😅
Asie na shombo kali ni yupi hapo nifanye mambo this week,
Hamu yangu ya kula iko chini hivyo nataka kula vyakula vipya vipya tu siku hizi,
Miss you too swirii,
Nitamtafuta nitakupa mrejesho Mrs B😅Hamu ya kulaboost wine..anza na tasi
😂😂😂😂😂😂 pole ila nimejikuta nachekaView attachment 3309069
25kg nimepokea 23 hivi kweli utumbo kg 2?
Umecheka nini boss wangu.😂😂😂😂😂😂 pole ila nimejikuta nacheka
Jinsi alivyouliza swali lake ndugu....Umecheka nini boss wangu.
Nilimuelewesha akanielewa.Jinsi alivyouliza swali lake ndugu....
Utapata kilo nyingi zaidi ukinunua hapahapa.maana utanunu kwa jumla hivyo utafaidi zaidiKuna tofauti gani nikinunulia hapa Dar?
Karibu sana,Wateja ni pamoja na wewe jamani.
Leo nimecheka sanaKaribu sana,Wateja ni pamoja na wewe jamani.
Kupata Samaki wa bure nawa ofa subscribe na kuchangia mada mbalimbali kuhusu Samaki kupitia tovu hii
Umecheka nini boss wangu?Leo nimecheka sana
Nikupe Samaki gani?
Nitakutumia kg 3 za Sangara kwasabu umesema unapenda Samaki nicheki DM.Nikupe Samaki gani?