Pata simu za kisasa(smartphone) mpya kabisa kwa BEI POA kutoka UK

kashaato

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
76
Reaction score
4
Aina za simu zilizopo,
1. Blackberry Z10
2. Blackberry bold Q5
3. Samsung S3
4. Samsung Y (Young)
5. Sony Xperia E
6. Blackberry bold 9780
7. Blackberry 9000
8. Camera Nikon.
zikiwa na kila kitu chake (charger, USB, Cover, headphones etc)
Mawasiliano; 0717569513/0753882205 (Niko Dar es salaam)
 

Attachments

  • DSCN0034.JPG
    749.3 KB · Views: 1,090
  • DSCN0036.JPG
    451.7 KB · Views: 945
  • DSCN0043.JPG
    813.3 KB · Views: 922
  • DSCN0044.JPG
    381.7 KB · Views: 861
  • DSCN0069.JPG
    775.6 KB · Views: 895
nani kukudanganya? hakuna simu inatengenezwa UK zote ni prouct toka china halafu nyingi ya hizi simu zinazouzwa bongo toka UK ni za wizi.
 
Raha ya simu ununue dukani na ujaze GUARANTEE FORM. Nitoe milioni na ushee ninunue kutoka kwako bila bima wala guarantee. baada ya kuuza ukihamia Buguruni madenge mimi ntakupataje. Je kama simu imechapwa hapa TZ unafikiri KOVA atanielewa nikimwambia nilidhani hii samsung s 3 ni made in Uk ? kuna jamaa aliingia matatani hivi hivi kwa kununua iphone mkononi. Watu wa kazi waliitumia kwenye uhalifu. Kama una gari la uingereza ni beep tufanye biashara
 

Ndugu, kweli iwe ya wizi mtu utamuibia simu, charger, headphone mpaka box lake, haiwezekani. Kama una nia ya kununua, utanunua kama hauna, pita tu hata usichangie
 
Hiyo bei poa ndiyo kiasi gani?
Kwa nini usiweke bei mbele ya hizo aina za simu?
 
nani kukudanganya? hakuna simu inatengenezwa UK zote ni prouct toka china halafu nyingi ya hizi simu zinazouzwa bongo toka UK ni za wizi.

Ndio, ubora wa product kutoka UK na TZ ni tofauti hata kama imetengenezwa china.
 
Tunashukuru kwa wote mliojitokeza kununua bidhaa zetu. Bado
 
Tunapenda pia kuwajulisha uwepo wa Samsung Galaxy S3 kwa 550000 na Blackberry z10 kwa 600000.
 
Pia tunauza Blackbery bold 9000, kwa 400000. Mawasiliano yetu ni 0717569513
 
Tumeweka namba za simu kwa ajili ya mawasiliano, wasiliana kwa ajili ya kujua bei

Eka bei mbele na wana JF waone...
Wengi wetu atuendagi dukan bila kujua bei halisi tupange budget kabisaaaaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…