Pata simu za kisasa(smartphone) mpya kabisa kwa BEI POA kutoka UK

Bwana Jerry. Bei nimeshaweka kwenye reply zangu. Plz pitia
 
Tunapenda pia kuwajulisha uwepo wa Samsung Galaxy S3 kwa 550000 na Blackberry z10 kwa 600000.

Me Ninayo blackberry Z10 kwa 450,000 , Samsunga Galaxy S3 Mini 380,00, Lumia 610 300,000 , Galaxy S4 mini 550,000 na Iphone 5 500,000(iphone ilikuwa na water damage lkn imetengenezwa na apple shop uk inafanya kazi kama mpya)....SIMU ZOTE ZILIKUWA LOCKED NA UK NETWORKN LKN ZIMEFUNGULIWA INGAWA LOGO YA NETWORK BADO IPO
 
Mamakibunju Simu zwko ulifungulia wap. Maana ninayo bb q5 imefungwa
 

Hii ni tamaa, kwani umekatazwa kufungua thread yako? Au labda haujui kutangaza biashara unaingilia ya watu. Na hizo bei zilivyo ndogo lazima kuna kitu hapo. Inabidi ujieleze zaidi kwa thread yako weye.
 
Samahani kama nitakuwa nimekosea ila simu kama mpaka zimefungwa zitakuwa za wizi, utanunuaje simu ipo locked. Mm na nunua sana simu toka nje ila kabla sijanunua na angalia kama ipo locked.
 
Ndo maana mnashindwa biashara! bei hadi apige simu!! utasubiri sana
 
Mr Doper tumeweka bei Mara kibao. Sema hujapitia thread nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…